Loan Products || BMQ – Microfinance

Loan Products

Aina ya Mikopo Tunayotoa

BMQ Microfinance


Kikundi Loans

Mikopo hii ni kwa ajili ya kikundi cha watu kuanzia watatu na kuendelea.

BMQ Microfinance


Personal Loans

Huu ni mkopo kwa ajili ya mtu mmoja mmoja, ni tofauti na ule wa kikundi.

BMQ Microfinance


Biashara Loans

Mkopo kwa ajili ya biashara, iwe mtaji au manunuzi ya vifaa.

BMQ Microfinance


Wajasiriamali Loans

Mkopo kwa wafanyabiasha wadogo wadogo.