FAQ || BMQ – Microfinance

Frequently Asked Questions

Je! Wajua?

Maswali yanayoulizwa sana na wateja wetu.

Mteja atatakiwa kua na vitu vifuatavyo ili kupata mkopo:-

  • Kitambulisho cha taifa, leseni ya udereva au kitambulisho cha mpiga kura.
  • Barua ya utambulisho wa makazi kutoka serikali ya mtaa anaoishi.
  • Taarifa sahihi za wadhamini watatu.
  • Leseni ya biashara, kama ni mkopo wa biashara.
  • Uthibitisho wa midhamana, kama hati ya nyumba, card ya gani.
  • Afisa wetu atatakiwa kuja kutembelea eneo la biashara au la makazi

Pindi utakapokamilisha taratibu zote za kuomba mkopo, utapewa fomu maalum inayoonyesha tarehe zako zote za marejesho. Pia mtoa huduma wetu atakupa maelezo yote ya namna ya kulipa rejesho la mkopo wako.

Mteja anapochelewa kuleta rejesho la mkopo, atalazimika kulipa penalty/ada ya kuchelewa kwa lile rejesho husika alilochelewa kulipa, kama ni rejesho la mwisho vinginevyo atatakiwa kulipa ada ya kuchelewa kwa marejesho yote aliyochelewa.

Mteja anapochelewa kukamilisha mkopo, atalazimika kulipa penalty/ada ya kuchelewa kwa lile rejesho husika alilochelewa kulipa, kama ni rejesho la mwisho vinginevyo atatakiwa kulipa ada ya kuchelewa kwa marejesho yote aliyochelewa.
BMQ Microfinance FAQ

Karibu BMQ